emblem

ARDHI UNIVERSITY

News and Events

Ukaguzi kwenye  mradi wa Uendelezaji wa Eneo la wazi la Mapumziko Tanga (Jamhuri Park)

 

Tarehe 21 Juni 2023 Chuo Kikuu Ardhi kupitia kampuni yake ya Ushauri wa Kitaalam ABECC imefanya ukaguzi kwenye  mradi wa Uendelezaji wa Eneo la wazi la Mapumziko Tanga (Jamhuri Park). Chuo Kikuu Ardhi, ni Mtafiti na Mshauri  muelekezi wa mradi huo ambao mpaka sasa umekamilika kwa 80%. Jamhuri Park ni eneo litakalo kuwa kivutio kwa wakazi na wageni wa jiji la Tanga hivyo kuongeza thamani ya jiji hilo.