emblem

ARDHI UNIVERSITY

News and Events

Tarehe 31/7/2023 Chuo Kikuu Ardhi kimepokea magari mapya Matatu aina ya Toyota Hilux double cabin Pickup 4WD

 

Kwa ajili ya matumizi mbalimbali ikiwemo Utafiti. Magari hayo yamenunuliwa kupitia Mradi wa HEET unaofadhiliwa na World Bank na kusimamiwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuptia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

#Kazi inaendelea
#Weledi na Ustawi